Aliyekuwa Kocha wa Gaborone Utd,raia wa Bulgaria Dimitar Pantev (49) ameagwa rasmi ndani ya klabu hiyo.
Kocha huyo ambaye ameisadia klabu ya Gaborone kuibuka mabingwa wa ligi kuu ya Botswana taarifa zinasema tayari amemalizana na Wekundu wa Msimbazi kuwa kuchukua mikoba ya Fadlu Davids.