Klabu ya Yanga SC ipo katika mchakato wa kumrejesha aliyekuwa kocha wao wa zamani, Sead Ramovic, Kutokana na vyanzo mbalimbali ni kwamba muda wowote kuanzia sasa klabu hiyo itatangaza kuachana na kocha Romain Folz.
Mazungumzo ya kumrejesha yanaendelea na yanategemewa kukamilika muda wowote