Nyota wa zamani wa Liverpool kwa sasa anakipiga kwenye kikosi cha Al-Nassr FC cha nchini Saudi Arabia (Sadio Manè) amefanikiwa kupata watoto mapacha na mke wake Aisha Tamba
Nyota huyo mwenye mvuto mkubwa barani Afrika na dunia kwa ujumla wake kutokana na lifestyle yake kwenye jamii yake huko nchini Senegal
Hii inatafsiriwa kama sehemu ya baraka na neema ambayo ameipata kutokana na kurejesha kwa jamii kile ambacho amekuwa akikipata kwa kazi ya miguu yake.