Golikipa wa klabu ya Manchester United anayekipiga kwa mkopo kwenye klabu ya Trabzonspor ya nchini Uturuki, Andre Onana amekuwa na wakati mzuri hadi sasa kwenye lango la timu hio.
Andre Onana akiwa na klabu Trabzonspor
🏟️ 4 Michezo
🧤 2 Clean Sheets
🅰️ 1 Assist
🏅 2 Mchezaji bora wa mechi