Klabu ya Yanga wapo kwenye Mazungumzo chanya na kocha mkuu wa timu ya taifa ya Madagascar, Romuald Rakotondrabe ili kuwa kocha wao
Mazungumzo yamefikia hatua nzuri Romuald kuja kuchukua nafasi ya Romain Folz ambaye muda wowote Yanga SC watatangaza kuachana naye.