Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule (katikati) akizungumza jambo leo Septemba 26, 2024 wakati akifungua warsha iliyoandaliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa na Kinondoni kwa ajili ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha na Noel Rukanuga)
Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni Christian Nyakizee akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Ushirikishwaji wa jamii Wilaya ya Kinondoni ASP Elina Maro akizungumza jambo wakati akichangika mada katika warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Msaidizi wa Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni INSP Christopher Mwambona akizungumza jambo wakati akichangika mada katika warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Tathimini na Ufatiliaji WAJIKI Bw. Hancy Obote Mahenge akizungumza jambo wakati akichangika mada katika warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Dawati la Uelimishaji Umma Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa na Kinondoni Dorothea Mrema akizungumza jambo wakati akitoa elimu katika warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Afisa wa TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni akiwa katika warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Afisa wa TAKUKURU Mkoa wa Kinondoni Ismail Mwajunge akitoa ufafanuzi wa jambo katika warsha ya kuwajengea uwezo Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kuhusu namna bora ya utekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wakiwa katika warsha iliyoandaliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa na Kinondoni kwa ajili ya kuwajengea uwezo kuhusu namna bora ya kutekelezaji wa majukumu yao bila kujihusisha na vitendo vya rushwa iliyofanyika leo Septemba 26, 2024 katika Ukumbi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule, Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni Christian Nyakizee, Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge wakiwa katika picha ya pamoja na Askari wa Jeshi la Polisi Kitengo cha Dawati la Jinsi na Watoto Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.
……..