Klabu ya @singidablackstars imefanikiwa kumpata mshambuliaji raia wa Zambia Kennedy Musonda (30), Mshabuliaji huyo wa zamani wa klabu ya @yangasc tayari ameshamalizana na Uongozi wa klab hiyo kwa kusaini kandarasi ya klabu Pia Uongozi wa klabu ya Singida Black Stars tayari umeshamalizana na uongozi wa klabu yake (Musonda) ya @hapoelrgg_fc ya Israel,
Musonda atarejea tena Tanzania mwezi disemba kuanza maisha mapya ndani ya Singida Black Stars iliyochini ya Muargentina Miguel Angel Gamondi.