

Mkongwe wa Muziki nchini, Juma Nature ameeleza kuwa Maproducer wa Muziki P. Funk pamoja na Master Jay wote walimsaidia katika kuhakikisha muziki wake unakuwa lakini P. Funk bado ni Producer namba 1 katika kuzalisha Muziki.
Video full ipo YouTube ya Global TV
Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.









