“Kila mwana-Simba alikuwa na matumaini makubwa na Mpanzu msimu huu,na hii ni baada ya kuonyesha ishara za kuwa mchezaji muhimu msimu uliopita”
“Msimu huu watu walitegemea moto,magoli na kiwango bora kutoka kwake kwani tayari ameizoea ligi ya Bongo na mazingira yote ila kila kukicha kiwango chake kinazidi kushuka”
“Jumapili ndo alikuwa mchezaji mbovu kiwanjani, alipoteza mipira mingi kizembe na hukuona nini cha ziada anafanya.Haraka sana anatakiwa kuangalia kiwango chake na kurudi kwenye njia bora”
Anasema: Hans Rafael
.







