
Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe akizungumza wakati akishiriki uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za elimu kutumia nishati safi ya kupikia, uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea katika Jiji la Belem nchini Brazil.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na wadau walioshiriki uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za elimu kutumia nishati safi ya kupikia, uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea katika Jiji la Belem nchini Brazil.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe akiteta jambo na Naibu Waziri wa Ujenzi, Hali ya Hewa na Uchukuzi wa Serikali ya Visiwa vya Fiji Mhe. Naisa Tuinaceva mara baada ya uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za elimu kutumia nishati safi ya kupikia, uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea katika Jiji la Belem nchini Brazil.

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe akishiriki uzinduzi wa mpango wa nishati safi ya kupikia shuleni ambao unalenga kuziwezesha taasisi hizo za elimu kutumia nishati safi ya kupikia, uliofanyika pembezoni mwa Mkutano wa 30 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaoendelea katika Jiji la Belem nchini Brazil.



.jpg)

