Klabu Ya Yanga sc ndio klabu Pekee kutoka Tanzania Ambayo Imefanikiwa Kushinda Katika Mchezo wa Kimataifa Wakiwa Kama Wawakilishi wa Tanzania Katika Mashindano Ya Kombe la mabingwa Barani Afrika Huku Timu zingine Kama Simba sc, Azam Fc Na Singida Black Stars Wakipoteza Katika Mechi zao..
Klabu Za Yanga Na Simba Ndio Wawakilishi kwa Tanzania Katika Ligi Ya Mabingwa Barani Afrika huku klabu ya Azam Fc Pamoja na Singida Black Stars Wakiwa ni Wawakilishi wa Kombe la shirikisho Barani Afrika.
Klabu ya yanga Ilifanikiwa Kuibuka na Ushindi wa Goli Moja Kwa Sifuri (1-0) Dhidi ya AS Farabat Goli pekee likifungwa Na Prince Dube Ikiwa ni Michuano ya ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Kwa Upande wa Singida Black Stars Walipoteza Goli Mbili Kwa sifuri (2-0) dhidi ya CR Belouizdad Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Kwa Upande wa Simba Mchezo wao wa Kwanza ligi ya Mabingwa Barani Afrika walipoteza Bao Moja Kwa Sifuri (1-0) Dhidi Atlético Petróleos de Luanda Na kwa Upande Wa Azam Fc walipoteza Bao Mbili kwa Sifuri (2-0)Dhidi ya AS Maniema kombe la Shirikisho Barani Afrika
Hadi Sasa Klabu Ya Yanga Pekee Ndio wawakilishi wa Kimataifa Waliofanikiwa Kukusanya alama Tatu muhimu Huku Klabu za Simba sc, Yanga sc, Azam Fc Na Singida Bs Wakishindwa Kupata alama Hata Moja.
The post Naanza Kumuelewa Zimbwe Kwanini Aliamua Kuikimbia Simba na Kuja Yanga appeared first on SOKA TANZANIA.





