Mke wa Ruben Amorim, Maria João: “Ruben amekuwa akikosa usingizi tangu alipokuja Uingereza.
“Sio rahisi kamwe. Watu wanapaswa kuelewa kwamba, tumekatishwa tamaa na unyanyasaji anaopata. Nilimuuliza, Je, yote haya yanafaa, akasema ndivyo alivyojisajili” 



