

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, MDAs, LGAs, Jeshi la Magereza pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ametangaza nafasi 514 za ajira kwa Watanzania wenye sifa na uwezo.
Tangazo hilo limetolewa rasmi Desemba 8, 2025, likihusisha kada za afya, mifugo, uvuvi, TEHAMA, elimu ya ufundi, utafiti na huduma za jamii.
Soma zaidi hapa >>>>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
Baadhi ya Nafasi Zilizotangazwa
-
Fish Technologist II – Nafasi 3
-
Veterinary Officer II – Nafasi 19
-
Livestock Research Officer II – Nafasi 1
-
Livestock Field Assistant – Nafasi 20
-
Afisa TEHAMA II (Programmer, System Administrator, System Analyst, Network & Database Administrator, System Security) – Zaidi ya Nafasi 250
-
Radiography Technologist II – Nafasi 70
-
Optometrist II – Nafasi 20
-
Dental Technologist II – Nafasi 10
-
Kitchen Attendant II – Nafasi 1
-
Wakufunzi Wasaidizi wa Maendeleo ya Jamii (Umeme, Magari, Auto Electrical, Useremala, Uashi, Ufundi Bomba, Ushonaji, Food Production, Ufugaji, Computer Applications, Early Childhood Development n.k.)
Sifa za Jumla kwa Waombaji
-
Awe Raia wa Tanzania
-
Umri usiozidi miaka 45
-
Kwa Taasisi za Kijeshi:
-
Nafasi zisizo za Shahada: ≤ miaka 25
-
Nafasi za Shahada: ≤ miaka 30
-
-
Awe na vyeti halali vilivyothibitishwa kisheria
-
Waombaji waliosoma nje ya nchi wahakikishe vyeti vimehakikiwa na TCU/NECTA/NACTVET
-
Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kuomba
Soma zaidi hapa >>>>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA
The post Usikose! Ajira 514 Zatangazwa Afya, TEHAMA na Ufundi – Deadline Disemba 23 appeared first on Global Publishers.







