Katika juhudi za kuendelea kuwazawadia wachezaji wake, Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios imezindua ofa maalum inayolenga kuongeza thamani ya uzoefu wa uchezaji. Ofa hii inaleta msisimko mpya kupitia mchezo wa Zombie Apocalypse, unaochanganya burudani na fursa zaidi za ushindi.
Kwa mujibu wa ofa hii, mchezaji atakayeshiriki kwa kucheza mizunguko 100 ya Zombie Apocalypse leo, atapatiwa mizunguko 50 ya bure siku inayofuata. Mpango huu umeandaliwa ili kuwapa wachezaji nafasi ya kuendelea kufurahia mchezo bila gharama ya ziada.
Tofauti na michezo mingine, Zombie Apocalypse inajulikana kwa hadithi yake yenye mvuto, michoro ya kisasa na mazingira yanayomweka mchezaji ndani ya tukio. Meridianbet imechagua mchezo huu ili kuwapa wateja wake burudani ya kiwango cha juu inayokidhi ladha ya wachezaji wa kisasa.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Ofa hii ya mizunguko ya bure inahusisha mchezo wa Zombie Apocalypse pekee, hivyo kuwahamasisha wachezaji kuutumia kikamilifu ili kufaidika na faida zote zinazotolewa katika kampeni hii.
Kwa hatua hii, Meridianbet inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kutoa zaidi ya uchezaji wa kawaida, kwa kuwekeza katika ofa na michezo inayoongeza thamani, msisimko na furaha kwa jamii yake ya wachezaji. Hii ni fursa kwako mbashiri kuongeza kipato bila gharama za ziada. Jisajili sasa na meridianbet ili fursa hii isipite mbali na wewe
The post ZAWADI YA KIPEKEE KWA WAPENZI WA ZOMBIE APOCALYPSE appeared first on Soka La Bongo.







