Sio kila siku dau linakulipa zaidi ya matarajio. Lakini kwa JIMIXX na Ushindi Bab Kubwaa, Meridianbet kwa kushirikiana na Mixx by Yas wameamua kubadilisha kabisa maana ya kubashiri Tanzania. Kuanzia Januari 27 hadi Aprili 27, 2026, kila dau unaloweka halisimamii matokeo ya mechi pekee, ila linakupa nafasi ya kushinda zawadi halisi zinazoonekana.
Hii ni kampeni iliyozaliwa kutoka kwenye uelewa wa mbashiri wa kisasa. Meridianbet na Mixx by Yas wameunganisha nguvu kuleta uzoefu unaochanganya teknolojia, urahisi na burudani ya kiwango cha juu. Akizungumza kuhusu uzinduzi huu, mwakilishi wa Meridianbet Clementina Kigwa alibainisha kuwa JIMIXX ni zawadi kwa wateja wanaoiamini Meridianbet kila siku, na ni njia ya kurudisha thamani kwa uaminifu wao.
“Tunafurahi kushirikiana na Mixx by Yas kuanzisha promosheni hii ya kusisimua kwa wateja wetu wapendwa, Sisi Meridianbet, tuna dhamira ya kutoa thamani na burudani bora kwa wateja wetu, na promosheni hii ni ushahidi wa uaminifu wetu.” alisema.
Mbali na mchezo huu, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa vitendo, kushiriki hakuhitaji ujanja wowote. Weka dau la kuanzia Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas, na moja kwa moja unapata mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino chini ya Expanse Studios. Ni burudani safi, ni fursa ya kuongeza ushindi, na yote haya bila kuongeza gharama zako za kawaida.
Zawadi zilizopo zinaongea zenyewe. Kila siku kuna ushindi wa mizunguko ya bure, kila wiki kuna simu mbili mpya za Samsung A26 , na kilele cha JIMIXX kinabeba zawadi kubwa zinazobadili maisha, yaani kuna Bajaj mpya 2, Pikipiki aina ya Boxer, pamoja na TV ya Hisense inch 55. Kila droo ni hatua nyingine kuelekea ushindi wako.
Ukiwa mteja wa Mixx by Yas, njia ya kushiriki ni rahisi na ya haraka. Weka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Mixx Super App au piga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999 kisha kiasi.
Zawadi zinatoka haswa huku droo za wiki zikifanyika kila Jumatano na Ijumaa. Huu sio wakati wa kusikia habari, ni wakati wa kushiriki. JIMIXX sasa, fanya dau lako liwe zawadi, na chukua Ushindi Bab Kubwaa na Meridianbet.
The post JIMIXX YAJA NA ZAWADI USHINDI BAB KUBWA MERIDIANBET appeared first on Soka La Bongo.





