Afcon Kibosi Zaidi ni kampeni kutoka kampuni ya ubashiri ya wasafibet ambayo iliendeshwa kutokana na michuano ya Afcon iliyofanyika Disemba 21 2025 na kumalizika january 18 2026 ambapo kupitia michuano hii wabashiri ama wateja wa wasafibet waliweza kujishindia fedha kwa kubashiri michuano hiyo.
Zawadi hizo za fedha kwa washindi zilitokana na ubashiri wao wa kuchagua mechi zozote zilizokua zinacheza kwenye michuano ya AFCON kwa dau kuanzia elfu mbili (2000) na kuendea na kuweza kuingia kwenye droo na kushinda.
Kiwango cha Pesa cha ushindi kilikuwa kinatolewa kwa siku, wiki na mwezi ( baada ya AFCON kukamilika). Kiwango hicho kilikua kwa siku wateja wanashinda Tsh.5000 ambao ni washindi 20, Kwa wiki Laki 5 ambao ni washindi watano (5) kila mshindi alishinda laki 1, na kwa washindi wa mwezi ni Mil.5 ambapo washindi walikua ni watano na kila mmoja alishinda Tsh.Mil 1.
Washindi 5 ambao walikamalisha michuano ya Afcon ambapo kila mmoja alishinda Tsh.Mil1 ni
-
Amos T.Ndalingwa-IRINGA
-
Abas M.Mjanda-DODOMA
-
Harowa E.Venance-DSM
-
Fredrick Augustino-DSM
-
Maskat A.Ramadhan-DSM
Kupitia kampeni hii ya Afcon Kibosi zaidi, kampuni ya wasafibet iliweza kuwafikia wateja wake moja kwa moja, kwani washindi licha ya kushinda kupitia bashiri zao ila waliweza pia kushinda pesa kwa kuingia kwenye droo.
Ikiwa ni moja ya kampeni ambayo imefanya vizuri kutoka wasafibet (Afcon Kibosi Zaidi) licha ya kuwa na kampeni mbalimbali zinazotoa zawadi mbalimbali , Wasafibet wameendelea kufanya vizuri kwa kuwafikia wateja hivyo kuifanya kampuni hii kuwa Kinara wa promosheni na odds nzuri.
The post AFCON KIBOSI ZAIDI NA….. appeared first on Soka La Bongo.





