DAR ES SALAAM: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda leo amezindua Bodi ya Usimamizi wa Timu ya mpira wa miguu “TRA United Sports Club na kuitaka kuisimamia kikamilifu timu hiyo na kuifanya kuwa bora na tishio katika ligi za ndani na Kimataifa. Pamoja na mambo mengine ameisisitiza kwenda kusimamia nidhamu




