SHINYANGA: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Dk Joel Nanauka amezindua rasmi Jukwaa la Vijana la Mkoa wa Shinyanga litakalowakutanisha na kuwashirikisha vijana pamoja ili kujadili fursa za kiuchumi na namna wanavyoweza kuzitekeleza ili kuleta maendeleo. Akizindua jukwaa hilo leo Februari 21, 2026, DkNanauka amesema jukwaa hili ni sehemu ya utekelezaji wa






