TAASISI ya Wanasayansi Wahandisi Wasio na Mipaka (SEWB) ya Korea Kusini imefadhili ujenzi wa mtambo wa kuzalisha gesi asilia ya kupikia ya bayogesi katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Monduli mkoani Arusha kwa gharama ya Sh milioni 124. TAASISI ya Wanasayansi Wahandisi Wasio na Mipaka (SEWB) ya Korea Kusini imefadhili ujenzi wa mtambo wa kuzalisha gesi asilia ya kupikia ya bayogesi katika Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Monduli mkoani Arusha kwa gharama ya Sh milioni 124.






