WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameonya watu wanaotumika kuichafua nchi. Katambi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara aliouandaa kushukuru wananchi kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wa Shinyanga Mjini. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ameonya watu wanaotumika kuichafua nchi. Katambi amesema hayo kwenye mkutano wa hadhara aliouandaa kushukuru wananchi kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wa Shinyanga Mjini.






