MANYARA: Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Manyara umeendelea kufanya marekebisho ya barabara ya Babati – Singida ili iweze kupitika baada ya kuisha muda wa kipindi cha usanifu wa miaka ishirini. Kuisha kwa miaka ya kuishi ya barabara hiyo kumetengeneza mashimo makubwa yaliyosababishwa na mafuriko na mvua zinazoendelea kunyesha. Katika kikao cha Bodi ya Barabara






