HOSPITALI nchini Kenya zinakabiliwa na ongezeko la mzigo wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza hali inayoongeza changamoto katika utoaji wa huduma za afya. Katika hospitali za umma, watoto wanaolazwa kwa malaria au animonia huonekana pamoja na wagonjwa wa kiharusi, kisukari na saratani, magonjwa ambayo sasa yanaongezeka tofauti na ilivyokuwa awali. HOSPITALI nchini Kenya zinakabiliwa na ongezeko la mzigo wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza hali inayoongeza changamoto katika utoaji wa huduma za afya. Katika hospitali za umma, watoto wanaolazwa kwa malaria au animonia huonekana pamoja na wagonjwa wa kiharusi, kisukari na saratani, magonjwa ambayo sasa yanaongezeka tofauti na ilivyokuwa awali.





