Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika ufunguzi wa maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Tenkonolojia ya Madini 2024 yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita
Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO, Afisa Uhusiano Mkuu wa STAMICO Bw. Gabriel Nderumaki kulia na Rais wa Chama Cha Wachimbaji wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA), John Bina kushoto wakijadiliana jambo katika banda la shirika hilo wakati wa ufunguzi wa maonesho ya 7 ya Kimataifa ya Tenkonolojia ya Madini 2024 yanayofanyika kwenye viwanja vya EPZ Bombambili mjini Geita
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akiwa katika banda la STAMICO wakati alipotembelea banda hilo wa pili kutoka kulia ni Waziri wa Madini Anthony Mavunde, mwisho kulia ni Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Geita Martine Shigella.
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipiga makofi kuonesha kufurahishwa na tekonolojia mpya ya kutoa mchanga wa makinikia ya dhahabu kwenye mashimo ambao haujachenjuliwa kwa kutumia injini za bajaji ambapo imewarahisishia wachimbaji wadogo na kuwapa ufanisi mkubwa tofauti na hapo awali walipokuwa wakitoa mchanga kwa kutumia kamba za kawaida.