IGP WAMBURA AKUTANA NA MKUU WA MKOA WA TABORA, WAJADILI HALI YA USALAMA
by
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura akiwa mkoani Tabora, amekutana na Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Matiko Chacha na kuzungumza masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya kiusalama mkoani humo. Picha na Jeshi la Polisi