Na Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Mbeya
Wizara
ya Fedha kwa kushirikiana na Wasimamzi wa Sekta ya Fedha nchini,
imeandaa Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa jijini
Mbeya ili kuwawezesha wananchi kupata uelewa wa masuala ya fedha.

Maadhimisho
hayo yanayofanyika katika Viwanja vya Ruanda-nzovwe Jijini Mbeya
yanalenga kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu matumizi ya huduma rasmi za
fedha kwakuwa Serikali inakusudia takriban asilimia 80 ya wananchi
watakuwa wamepata uelewa wa masuala ya fedha ifikapo mwaka 2025.

Akizungumza
na waandishi wa habari, Kamishina Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa
Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza alisema maadhimisho
hayo pia yanalenga kuongeza mchango wa Sekta ya Fedha kwenye ukuaji wa
uchumi.

Alisema
kwa mujibu wa Utafiti wa FinScope wa mwaka 2023 nchini, ni asilimia
53.5 tu ya nguvu kazi ndiyo wanaotumia huduma rasmi za fedha na hivyo
kubaki na kundi kubwa la Watanzania ambao hawafaidiki na huduma hizo.

“Kutotumia
huduma rasmi za fedha kunasababisha wananchi kukosa fursa za kuboresha
maisha yao kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi na hatimaye kuchangia
katika kukuza Pato la Taifa”, alibainisha Bi. Hiza.

katika maadhimisho hayo wananchi watapatiwa elimu kuhusu faida ya
kutumia huduma rasmi za fedha, usimamizi wa fedha binafsi katika
utumiaji, uwekaji akiba pamoja na haki na wajibu wa mtumiaji wa huduma
za fedha.

Bi.
Hiza alisema kuwa pamoja na kutoa elimu kwa wananchi, pia watatoa elimu
hiyo kwa wanafunzi ili waweze kujua umuhimu wa kutumia huduma za fedha
wakiwa wadogo tofauti na ilivyo hivi sasa.

kuwa utamaduni huo ukijengwa katika ngazi hiyo ya chini uelewa unaweza
kuwa mkubwa na faida kwa nchi kwani vijana wadogo wanaweza kutumia na
kujua umuhimu wake wakiwa vijana.

Kwa
upande wao Wasimamzi wa Sekta ya Fedha nchini kutoka Benki Kuu ya
Tanzania (BoT), Mamlaka ya Usimamizi wa Masoko ya Mitaji (CMSA), Mamlaka
ya Usimamizi wa Bima (TIRA) na Hifadhi ya Jamii wamewakaribisha
wananchi kushiriki Maonesho hayo muhimu.’

Wamesema
kutembelea maadhimisho hayo hawapati tu elimu bali na huduma zote
zinazotolewa na taasisi hizo zinazopatikana katika Viwanja hivyo.

Kamishna Msaidizi wa Idara
ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza,
akizungumza katika mkkutano na wanahabari wa jiji la Mbeya, kuhusu
maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,
yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”,
yatakayo fanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya.
Maadhimisho hayo yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko
ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na
mikoa ya karibu.

Meneja Uhusiano na
Mawasiliano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania – TIRA, Bi. Hadija
Maulid, akizungumza jambo wakati wa mkutano na wanahabari wa Jiji la
Mbeya, ulioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta
ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza, (hayupo pichani), kuhusu
maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,
yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”,
yatakayo fanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo
yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii pamoja na Wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa ya karibu.

Kamishna Msaidizi wa Idara ya
Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza
(Katikati), akizungumza katika mkutano na wanahabari wa Jiji la Mbeya,
kuhusu maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha
Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya
Kiuchumi”, yatakayofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, Jijini
Mbeya, ambayo yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya
Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa
ya karibu. Wengine katika picha ni Meneja wa Idara ya Fedha na Utawala
wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Bi. Maristella Kamuzora (wa kwanza
Kulia), Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima
Tanzania – TIRA, Bi. Hadija Maulid (wapili kulia), Afisa Uhusiano na
Elimu kwa Umma Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA), Bi. Stella
John (wa pili kushoto) na Afisa Mkuu wa Uhusiano, Mfuko wa Hifadhi ya
Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul Njaidi (wa kwanza
kushoto).

Afisa Mkuu wa Uhusiano,
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul
Njaidi, akizungumza jambo wakati wa mkutano na wanahabari waJiji la
Mbeya, ulioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta
ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza (hayupo pichani), kuhusu
maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,
yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”,
yatakayofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya, ambayo
yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii pamoja na Wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa ya karibu.
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Bw. Abdul
Njaidi, akizungumza jambo wakati wa mkutano na wanahabari waJiji la
Mbeya, ulioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta
ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza (hayupo pichani), kuhusu
maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,
yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”,
yatakayofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya, ambayo
yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya
Jamii pamoja na Wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa ya karibu.
Kamishna Msaidizi wa Idara
ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza
(Katikati kulia), akiwa na baadhi ya Wasimamizi wa Sekta ya Fedha
nchini, wakati wa Mkutano na wanahabari wa jiji la Mbeya, kuhusu
maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,
yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”,
yatakayofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, Jijini Mbeya.
Maadhimisho hayo yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko
ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na
mikoa ya karibu.
ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza
(Katikati kulia), akiwa na baadhi ya Wasimamizi wa Sekta ya Fedha
nchini, wakati wa Mkutano na wanahabari wa jiji la Mbeya, kuhusu
maandalizi ya Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa,
yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”,
yatakayofanyika katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe, Jijini Mbeya.
Maadhimisho hayo yatazikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko
ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na
mikoa ya karibu.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Mbeya)