Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akizungumza wakati akifunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bi. Janeth Hiza, akizungumza wakati akimkaribisha Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja (hayupo pichani) kufunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Baadhi ya Washiriki na Wananchi wa Jiji la Mbeya, wakifuatilia hotuba ya Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja (hayupo pichani) wakati akifunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja (kushoto) akimkabidhi zawadi Mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mkapa, Bless Mwamkinga, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika Shindano la Uandishi wa Insha kuhusu elimu ya fedha, wakati wa hafla ya kufunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani. Kushoto ni Meneja Uendeshaji Bodi ya Bima ya Amana (DIB), Bw. Nkanwa G. Magina.
Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akimkabidhi Tuzo, Afisa Utafiti na Mawasiliano wa Umoja wa Mabenki (Tanzania Bankers Assosication – TBA), Bi. Sophia Mmbuji baada ya TBA kuibuka mshindi wa uhamasishaji bora wa maadhimisho katika vyama vilele kwa uratibu wa taasisi zao na kufanikisha ushiriki kwa zaidi ya asilimia 50, wakati wa hafla ya kufunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akimkabidhi Tuzo, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Bw. Ibrahim Hamidu baada ya kuibuka ushindi wa uhamasishaji bora wa maadhimisho katika Usimamizi wa Sekta ya Fedha na kuhamasisha ushiriki wa taasisi zao kwa kiwango cha kuanzia asilimia 50, wakati wa hafla ya kufunga rasmi Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja, akimkabidhi cheti, Mkurugenzi wa TRIZA Natural Products, Bi. Theresia Barnabas Nkuyu, baada ya kuibuka na ushindi wa mjasiriamali aliyefanya vizuri katika Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.
Meza Kuu ikiongozwa na Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Dkt. Charles Mwamwaja (Katikati aliyeketi), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki kutoka taasisi mbalimbali wa Maadhimisho ya Nne ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kaulimbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi”, yaliyofanyika katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe, Jijini Mbeya, ambayo yalizikutanisha Taasisi Ndogo za Fedha, Benki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii pamoja na wajasiriamali kutoka mkoa wa Mbeya na mikoa jirani.