Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akizungumza jambo wakati wa mafunzo kuhusu sheria za uchaguzi kwa Makamanda wa Polisi Wilaya (OCD) yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Moshi (CCP). Kushoto ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji na kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Selemani Mtibora.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani (kulia) akizungumza jambo na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji wakati wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Selemani Mtibora akizungumza wakati akiwasilisha mada kuhusu Sheria mbalimbali za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji akizungumza.
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi ambao ni Wakuu wa Polisi Wilaya wakifuatilia mada katika mafunzo hayo.

Majadiliano pia yalifanyika na Makamanda hao wa Polisi Wilaya (OCD) walipata fursa ya kuuliza maswali na kutoa maoni.