0 Comment
Upendo ulikuwa hewani, pamoja na idadi ya huduma za migahawa, chokoleti, vifaa vya mapambo, na waridi zilizouzwa siku inayotarajiwa sana na wapendanao. Kama kampuni inayoongoza kwa usafiri wa kidijitali Tanzania, Bolt ilitarajia ongezeko kubwa la mahitaji ya safari kuelekea maeneo maarufu ya mapenzi ya Dar es Salaam kama vile Posta, Mlimani, na Masaki. Kwa kuwa... Read More