0 Comment
Uongozi wa Kampuni ya uchimbaji Madini ya Shanta Mining inayomiliki mgodi wa Singida Gold Mining na New Luika umeahidi kuendelea kulipa Kodi kwa hiari na kuishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa ushirikiano wanaowapa, hayo yamejili leo tarehe 05.02.2025 walipotembelewa na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph Juma Mwenda. Akizungumza wakati wa ziara hiyo... Read More