0 Comment
Israel yathibitisha utambulisho wa miili yote 4 iliyokabidhiwa na Hamas Rais wa Israel Isaac Herzog amethibitisha kuwa utambulisho wa miili yote minne ya mateka umethibitishwa. Ripoti za vyombo vya habari vya kimataifa viliripoti mapema jinsi utambulisho wa miili ikiwemo Shlomo Mansour, Itzik Elgarat na Ohad Yahalomi ulivyothibitishwa. Israel sasa imetambua mabaki ya Tsachi Idan. “Kurejeshwa... Read More