0 Comment
Uganda imesema kuwa imefanikiwa kudhibiti ugonjwa wa Ebola, ambao ulithibitishwa na Wizara ya Afya ya nchi hiyo mwezi Januari. Jumla ya wagonjwa nane wa Ebola walithibitika kuruhusiwa kutoka hospitalini siku ya Jumanne, baada ya kuwa wamepona maradhi hayo. Kulingana na Waziri wa Afya wa Uganda Jane Aceng, licha ya nchi hiyo kuwa imedhibiti ugonjwa huo,... Read More