0 Comment
Na mwandishi wetu, Simanjiro MBUNGE wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka na mbunge wa Afrika Mashariki James Ole Millya wamekutana kwenye ofisi ya CCM wilaya ya Simanjiro walipofika kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge. Kwa nyakati tofauti wanasiasa hao nguli katika wilaya ya Simanjiro wamewahi kunyang’anyana ubunge mwaka 2015/2020 na mwaka 2020/2025.... Read More