Benki ya CRDB imeweka historia kwa kuorodhesha rasmi hatifungani yake ya kwanza ya kijani maarufu kama ‘Kijani Bond’ katika Soko la Hisa la Luxembourg (LuxSE). Read More
Na Silivia Amandius – Bukoba Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Ndugu Julius Shulla, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa chanjo ya kuku kwa wataalamu wa mifugo ngazi ya kata, katika hafla iliyofanyika tarehe 1 Julai 2025, katika makao makuu ya halmashauri hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Ndugu Shulla alieleza kuwa... Read More
Na.Alex Sonna-DODOMA AFISA Mwanadamizi Ofisi ya Rais Ikulu, Dk Fabian Madele,amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Dodoma Mjini. Dkt.Madele amerejesha fomu hiyo kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Dodoma Mjini Bi.Sophia Kibaba,mapema leo Julai 1,2025. Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo... Read More
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajjat Fatma Mwassa,akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 1,2025 jijini Dodoma kuhusu Mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kwa kipindi cha Novemba 2020 hadi April 2025 . MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajjat Fatma Mwassa,akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 1,2025 jijini Dodoma kuhusu Mafanikio ya... Read More
Farida Mangube, Morogoro. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Jafari A. Milango amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, akieleza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi na kuharakisha maendeleo katika jimbo hilo. Awali Milango alikabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya, Comrade Michael... Read More
Na Farida Mangube, Morogoro Wanataaluma kutoka chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA na chuo kikuu Mzumbe wameitaka jamii kuchangamkia matumizi ya nishati safi na jadidifu kama njia ya kuboresha maisha ya wananchi na kulinda mazingira, sambamba na juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –... Read More
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dismas Nsindo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Kuwania Udiwani WA Kata ya Buyuni, wilayani Ilala, mkoani Dar es salaam. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) Sevilla,Hispania. Read More
Picha ya wanawake wa kiislam wakiwa tayari kwa ajili ya kumsalimia mgeni rasmi katika kongamano la kumpongeza rais Na. Mwandishi wetu, Katavi. Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam (T) mkoa wa Katavi imefanya kongamano la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uongozi bora kwa kipindi cha miaka minne.... Read More