0 Comment
Na John Walter -Simanjiro Shirika la ECLAT DEVELOPMENT FOUNDATION kwa kushirikiana na Upendo Association limepanga kujenga shule ya sekondari ya wasichana ya bweni katika Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara. Shule hiyo itakuwa na madarasa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, ikiwa ni hatua kubwa katika kuboresha elimu kwa wasichana katika eneo hilo. Meneja... Read More