Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yusuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Saudi Arabia kuhusu Nishati Safi ya Kupikia. Read More
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia Februari 19-20, liliwakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii ili... Read More
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jukwaa la Pili la Utalii wa Vyakula barani Afrika, linaloratibiwa na Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism), Aprili 25, 2025, jijini Arusha. Tukio hili litakutanisha zaidi ya wadau 300, wakiwemo viongozi wa sekta ya utalii, wataalam wa vyakula, na wawakilishi wa serikali kutoka mataifa mbalimbali. Waziri wa Maliasili na Utalii,... Read More
*Yatenga Trilioni 3 kwa ajili ya miradi vya kuongeza thamani madini *Viwanda vya uongezaji thamani madini kupewa kipaumbele *Waziri Mavunde asisitiza madini kuongezwa thamani ndani ya nchi *Serikali yatenga eneo maalum Kahama-Shinyanga Dar es salaam Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mh.Lord Collins amevutiwa na mpango wa nchi ya Tanzania kuandaa mkakati maalum wa... Read More
Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omari Ramadhani Mapuri akizungumza wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza tarehe 18 hadi 19 Februari, 2025 Mkoani Morogoro . Zoezi la... Read More
Mratibu wa Urasimishaji Ardhi Manispaa ya Ubungo Majaliwa Jafari Mwamba wakati akizungumza kwenye zoezi la clinic ya ardhi inayoendelea kufanyika katika viwanja vya Kimara stop Over ambayo imeanza tar 10 feb mpaka tar 24 mwezi huu. Maafisa kutoka Manispaa ya Ubungo wakiwahudumia wananchi ambao wamejitokeza kwenye zoezi la clinic ya ardhi linaloendelea kufanyika katika viwanja... Read More
……………………… Sixmund Begashe -Ngorongoro Jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali katika kutatua changamoto ya Mimea Vamizi katika maeneo yaliyohifadhiwa kisheria nchini zitakwenda kuzaa matunda pindi lengo la kubadili mimea hiyo na kuwa bidhaa kwaajili ya Matumizi ya binadamu na za kumaliza mimea hiyo kwenye maeneo hayo yenye malisho ya Wanyamapori. Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania... Read More
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga... Read More
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt. Toba Nguvila (wa kwanza kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Kirafiki la Korea nchini Tanzania (KOFIH) Gyeongbae Seo wakati akiwasili katika uzinduzi wa mradi wa kuboresha usawa wa upatikanaji wa huduma za afya na usafi wa mazingira wenye lengo la kuimarisha afya za... Read More
Jackline Saulo, Afisa kutoka timu ya Uelimishaji na Uhamasishaji Ofisi ya Mganga Mkuu Mkoa wa Kagera Jacline Saulo. Wanawake kutoka vikundi mbalimbali vya kusaidiana masuala ya kiuchumi na kijamii wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kupata mafunzo kuhusu ugonjwa wa Marburg. ………….. Na. Elimu ya Afya kwa Umma. Katika mwendelezo wa Jitihada za... Read More