Sitoshangaa Pamba kuwafunga Yanga au kupata hata sare dhidi ya Pamba Kwasababu Pamba wameahidiwa kila goli moja ambalo watafunga watapata shilling Million sita na hiyo itaenda kuamsha morali kwa wachezaji na bench la ufundi kucheza vizuri dhidi ya Yanga ili kupata hata sare au ushindi” Anasema Alex Ngereza
KIKOSI CHA YANGA Vs PAMBA LEO 03 OCTOBER 2024 Young Africans itacheza na Pamba Jiji kwenye Ligi Kuu Bara ya Tanzainia mnamo Oktoba 3. Mechi hiyo itaanza saa 18:30 kwa saa za kwenu. Young Africans wana kibarua kigumu kwa sasa wakishinda mechi zao dhidi ya MC wa Kinondoni, KenGold, Etheopia Bank, Etheopia Bank, Kagera Sugar,... Read More
Matokeo Yanga vs Pamba Leo MATOKEO YANGA Vs PAMBA LEO 03 OCTOBER 2024 Young Africans itacheza na Pamba Jiji kwenye Ligi Kuu Bara ya Tanzainia mnamo Oktoba 3. Mechi hiyo itaanza saa 18:30 kwa saa za kwenu. Young Africans wana kibarua kigumu kwa sasa wakishinda mechi zao dhidi ya MC wa Kinondoni, KenGold, Etheopia Bank,... Read More
Kwanini huyu Afande anayehusika kwanini hajashtakiwa? Tumefanya vikao sana na mwendesha mashtaka Dodoma yaani mpaka kesi inakamilika sisi tulipiga kambi Dodoma Mimi na mwenzangu wa Mkuki. Katika majadiliano ili mtuhumiwa yoyote apelekwe mahakamani sheria ilivyo sasa hivi ni lazima ufanyike uchunguzi na ushahidi wa kutosheleza kumpeleka mtuhumiwa mahakamani. Sasa connection ya huyu mama, huyu Afande... Read More
Mabingwa watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Pamba Jiji FC ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na beki Ibrahim Hamad Abdallah ‘Bacca’ dakika ya tano, viungo Mburkinabe Stephane Aziz... Read More
Rapa maarufu kutoka Trinidad na Tobago Nicki Minaj ameweka kuwa mali zake zote amezisajili kwa jina la Mume wake Kenneth Petty na amefanya hivyo kwa sababu anamuani sana na kumpenda sana mume wake. “Mali zangu zote zimesajiliwa kwa jina la mume wangu kwa sababu nampenda na kumuamini”-amesema Nick Minaj kwenye moja ya mahojiano yake.... Read More