Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Puma Energy Tanzania imempongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji nchini, hivyo kuwezesha kulipa kodi kwa serikali na kuchochea maendeleo. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Puma Energy Tanzania, Fatma Abdallah baada ya kampuni hiyo kuibuka kinara kwa kupokea tuzo nne za... Read More
Viongozi mbalimbali wakihudhuria mkutano wa mawaziri wa Nishati na mawaziri wa Fedha wa nchi za Afrika pamoja na wadau wa maendeleo kuhusu Nishati ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC jijini Dar es salaam leo Januari 27, 2025.
Na Mwandishi Wetu OFISI ya Diwani Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam imetoa taarifa ya utekelezaji wa Ilani sambamba na kukata keki kwa ajili ya kusherehekea Happy Birthday ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan. Usomwaji wa taarifa hiyo ya utekelezaji wa Ilani pamoja na kukata keki ya Rais umefanyika leo Januari 26,2025 jijini Dar... Read More
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Yusuph Mwenda alizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Forodha iliyoadhimishwa leo Januari 26 2025 Jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Fordha, Juma Bakari, akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Forodha yaliyoadhimishwa leo Januari 26 2025 Jijini Dar es Salaam. Rais... Read More
Na Philomena Mbirika, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua Kampeni ya kuhamasisha utalii wa ndani katika mapango ya amboni Tanga kuelekea sikukuu ya wapendanao inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 14 Februari. Kampeni hiyo iliyozinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Mhe. Japhari Kubecha leo tarehe 26/01/2025, inaenda kwa kauli mbiu isemayo “Diko... Read More
Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga, akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ujulikanao kama “Mission 300”, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28... Read More
Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Jimbo la Kisarawe Mhe. Dkt.Selemani Jafo(Mb) amemtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe kuhakikisha huduma ya Afya inapatikana wakati wote katika Zahanati ya Bwama. Amebainisha hayo wakati anazindua Zahanati ya Bwama iliyopo Wilaya ya Kisarawe Janauri 25,2025 ambapo amesisitiza huduma hiyo ya utaoji wa afya isisimame ili... Read More
Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, leo amefanya ziara hospitali Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), na Hospitali ya Agakhan ili kukagua na kuridhishwa utayari wa kutoa huduma kwa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Mkutano... Read More
Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini mchana wa leo tarehe 26 Januari 2025, Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ujulikanao kama “Mission 300”, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Read More