0 Comment
Mwamvua Mwinyi – Pwani 22,Julai, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt .Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala pamoja na miradi mingine mikubwa ya kimkakati. Akizungumza na waandishi wa habari Julai 22,2025 katika ukumbi mdogo wa mikutano uliopo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani,... Read More