0 Comment
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga akifungua mafunzo ya siku tano ya Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa kati Tanzania na Burundi yanayoendelea jijini Dodoma tarehe 22 Julai 2025. Washiriki wa mafunzo ya siku tano ya Uimarishaji Mpaka wa Kimataifa kati Tanzania na Burundi wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya... Read More










