0 Comment
Dkt. Benjamini akiwa na familia yake wakati wa urudishaji fomu ya Ubunge Na Mwandishi Wetu KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkufunzi wa Chuo cha Afya cha City College Dkt.Benjamin Mohamed amerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo la Kigamboni kwa kipindi cha mwaka 2025/2030. Kada huyo amesema... Read More