0 Comment
Mwamvua Mwinyi, Kibaha Julai 2, 2025 Jumla ya wanawake wanne wamejitokeza kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, mkoani Pwani, akiwemo Wakili Msomi Magreth Mwihava. Kwa upande wa wanaume, wagombea waliokwisha kuchukua fomu hadi kufikia Julai 1, 2025 wamefikia 13. Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya... Read More