0 Comment
Katibu tawala mkoa wa Katavi Albert Msovela akizungumzia na wanahabari. Na. Mwandishi wetu, Katavi. Mkoa wa Katavi umeandaa tamasha la siku mbili kwa lengo la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha nyingi za miradi mbalimbali ya maendeleo. Akitoa taarifa kwa vyombo vya Habari katibu tawala wa mkoa wa Katavi Albert Msovela amesema mkoa... Read More