0 Comment
Kibaha, Tanzania – Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imefanya kikao kazi maalum kilichowakutanisha Maafisa Kilimo na Maafisa Maendeleo ya Jamii wote, kwa lengo la kukumbushana wajibu wa kila siku katika kutekeleza majukumu yao ya kiutumishi. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Kibaha, kikilenga kuimarisha utendaji kazi, uwajibikaji, ubunifu katika ukusanyaji wa mapato ya... Read More