0 Comment
Na Mwandishi wetu, Manyara MWENGE wa uhuru mwaka 2025 umepitisha kwa asilimia 100 miradi yote 51, iliyokagua, kuzindua, kutembelea, kuona na kuweka jiwe la msingi kwenye mkoa wa Manyara, yenye thamani ya Sh71.3 bilioni. Mkuu wa mkoa wa Manyara, RC Queen Cuthbert Sendiga ameyasema Julai 19 mwaka 2025 kwenye eneo la Sagara akimkabidhi mwenge wa... Read More









