0 Comment
MKUU wa Mkoa wa Kigoma, IGP Mstaafu Balozi Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 19,2025 jijini Dodoma kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani humo kwa kipindi cha miaka minne chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa Idara ya Habari (MAELEZO) kutoa fursa kwa... Read More