Dodoma Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetoa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo watumishi wapya 98 wa kada ya Uhandisi,Fundi Sanifu, Maofisa Hesabu, Wachumi pamoja na Ununuzi na Ugavi. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Jiji-Mtumba katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Mafunzo hayo yaliongozwa na Mkurugenzi wa Huduma Saidizi Bi. Azimina Mbilinyi... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Denis Masanja,akizungumza na wananchi wa kijiji cha Cheleweni kata ya Sisi kwa Sisi akiwa katika ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi katika vijiji mbalimbali Wilayani humo,katikati Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Chiza Marando Na Mwandishi Wetu, Tunduru SERIKALI Wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma,imetangaza rasmi... Read More
Na Mwandishi wetu, Tunduru MKUU wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Denis Masanja amesema,wilaya hiyo inakwenda kufanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi kupitia kilimo cha zao la korosho, baada ya Serikali kutoa pikipiki kwa maafisa ugani ili waweze kuwafikia wakulima kwa urahisi. Masanja,amesema hayo wakati akikabidhi jumla ya pikipiki 50 kwa maafisa ugani kilimo... Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akieleza kuhusu Serikali kuendeleza ushirikiano na Serikali ya Ubeligiji, alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ubeligiji nchini Tanzania, Mhe. Peter Huyghebaert, Ofisi ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam. Na. Peter Haule, WF, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu... Read More
Hatua ya Mageuzi ya Elimu Tanzania imeendelea kuwa kuvutia nchi mbalimbali za Afrika kujifunza ikiwemo uboreshaji Sera na mabadiliko ya Mtaala katika ngazi mbalimbali za elimu. Juali 18, Viongozi kutoka Wizara ya Elimu Sudan Kusini wakiongozwa hiyo.Mhe. Kacuol Mabil Piok wamekutana na Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Kibaha Mkoani Pwani chini ya... Read More
Mwamvua Mwinyi, Pwani Julai 19, 2025 MKOA wa Pwani unatarajia kugawa vyandarua 971,939 katika kampeni ya ugawaji wa vyandarua bure kwa kaya 426,637, kampeni itakayoanza Agosti 15, 2025. Kampeni hiyo ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kutokomeza ugonjwa wa malaria nchini ifikapo mwaka 2030. Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Menejimenti , Serikali za Mitaa, Utawala... Read More
*Lakabidhiwa mradi wa ujenzi wa madaraja kupitia ‘MINUSCA’ Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuthibitisha umahiri na uaminifu wake katika operesheni za kimataifa baada ya Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA), kwa kulipatia jukumu la ujenzi wa mradi muhimu wa madaraja katika Mkoa... Read More
Na Mwandisi wetu, Hanang KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2025 Ismail Ussi amewapongeza wakala wa barabara nchini (TANROADS) Mkoani Manyara, kwa namna wanavyotekeleza vyema wajibu wao katika usimamizi na ujenzi wa miundombinu. Ussi ameyasema hayo wakati akikagua ujenzi wa daraja lililopo mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang’ katika barabara ya Babati-Gehandu. Amesema... Read More
Dar es Salaam, 18 Julai 2025 Mwandishi wa vitabu vya kuelimisha watoto, Bi. Riziki Mohamed Juma, amezindua rasmi kitabu chake kipya kiitwacho “Saburi” katika hafla iliyofanyika katika Maktaba Kuu ya Taifa jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huu uliambatana na utambulisho wa vitabu vingine vya watoto, vikiwemo vya maandishi ya kawaida na vya nukta nundu kwa... Read More