0 Comment
Na Mwandishi wetu, Tunduru MKUU wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Denis Masanja amesema,wilaya hiyo inakwenda kufanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi kupitia kilimo cha zao la korosho, baada ya Serikali kutoa pikipiki kwa maafisa ugani ili waweze kuwafikia wakulima kwa urahisi. Masanja,amesema hayo wakati akikabidhi jumla ya pikipiki 50 kwa maafisa ugani kilimo... Read More










