Farida Mangube, Morogoro. Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Jafari A. Milango amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, akieleza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi na kuharakisha maendeleo katika jimbo hilo. Awali Milango alikabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya, Comrade Michael... Read More
Na Farida Mangube, Morogoro Wanataaluma kutoka chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA na chuo kikuu Mzumbe wameitaka jamii kuchangamkia matumizi ya nishati safi na jadidifu kama njia ya kuboresha maisha ya wananchi na kulinda mazingira, sambamba na juhudi za serikali chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –... Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) Sevilla,Hispania. Read More
Picha ya wanawake wa kiislam wakiwa tayari kwa ajili ya kumsalimia mgeni rasmi katika kongamano la kumpongeza rais Na. Mwandishi wetu, Katavi. Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam (T) mkoa wa Katavi imefanya kongamano la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uongozi bora kwa kipindi cha miaka minne.... Read More
Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Kituo cha Afya Endagwe wilayani Babati, Mohamed Twalib Baya, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, kujibu mashtaka ya rushwa, uhujumu uchumi na kughushi nyaraka. Read More
Aliyekuwa mkurugenzi wa Younglife International kanda ya Tanzania mhandisi Costantino Victor Mtweve amechukua fomu ya kuwania ubunge wilaya ya Ludewa kwa tiketi ya chama cha mapinduzi . Baada ya kuchukua amesema mbali na kutafuta muarobaini wa changamoto za Ludewa lakini amesema kundi la vijana na wanawake na changamoto zao zitatazamwa kwa jicho la tatu. Kuhusu... Read More
Nkanwa Magina Meneja Uendeshaji Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la taasisi hiyo Leo Juni 30, 2025 katika maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam Bodi ya Bima ya Amana... Read More
Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa washirimi kutoka votengo mbalimbali wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili MUHAS katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar... Read More
Na Philipo Hassan – Hifadhi ya Taifa Mikumi Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA (T) Musa Nassoro Kuji, amewaelekeza Maafisa na Askari Uhifadhi wa Hifadhi ya Taifa Mikumi kuimarisha utendaji kazi na kuwajibika ipasavyo ili kuimarisha ulinzi wa maliasili zilizopo ndani ya hifadhi kwa ajili ya manufaa kwa kizazi kilichopo... Read More