0 Comment
Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Nyanda Shuli akizungumza na wadau wa sekta ya wavuvi wadogo wakati akifunga mkutano maalum wa wadau wa sekta ya uvuvi leo, Julai 17, 2025, katika Hoteli ya Four Points jijini Dar es Salaam. (PICHA NA NOEL RUKANUGA) Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Utafiti na... Read More