0 Comment
Katibu Mtendaji wa NACTVET, Dkt. Mwajuma Lingwanda na Mkurugenzi Mkazi wa Enabel nchini Tanzania, Koenraad Goekint wakibadilishana hati za Makubaliano ya Ushirikiano kwa lengo la kuimarisha ubora katika Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (TVET) yatolewayo nchini. Katibu Mtendaji wa NACTVET, Dkt. Mwajuma Lingwanda na Mkurugenzi Mkazi wa Enabel nchini Tanzania, Koenraad Goekint wakisaini... Read More